Mwakinyo kuzichapa na Marekani Peter Bobson Bondia Hassan Mwakinyo amesema amejiandaa vyema kupambana na Peter Bobson wa Marekani katika kuwania mkanda wa WBC Desemba 30 kwenye Uwanja wa Mao tse Tung, Zanzibar. Read more about Mwakinyo kuzichapa na Marekani Peter Bobson