"Haileti afya mwalimu kuangalia sketi" - DC Sakulo

Mkuu wa wilaya ya Missenyi Kanali Wilson Sakulo

Watumishi katika Halmashauri ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, wametakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili ya utumishi wa umma na kuzingatia nidhamu kazini, ili kujijengea heshima kwa jamii wanayoiongoza. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS