Majaliwa aridhishwa na ujenzi daraja la Mbuchi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameeleza kuridhishwa na Ujenzi wa Dajara la Mbuchi lililopo kibiti Mkoani pwani huku akiipongeza TANROADS na TARURA kwa kazi nzuri ya Usimamizi na Ujenzi wa Daraja hilo