RC Mbeya aagiza jengo la abiria Songwe likamilike

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera,

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemwagiza Mkandarasi anayesimamia ujenzi wa jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Songwe (SIA), kukamilisha mradi huo ifikapo mwezi Februari mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS