Wagonjwa wa macho kufanyiwa upasuaji Kiteto
Jumla ya wagonjwa wa macho 40, wilayani Kiteto mkoani Manyara, watafanyiwa operesheni kufuatia kuwa na matatizo mbalimbali ya macho yakiwemo mtoto wa jicho, mtindio wa maji kwenye macho na vimbe mbalimbali.