Milioni 470 zapotea jimboni kwa Mpina
Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki, ameagiza TAKUKURU kuchunguza matumizi ya shilingi milioni 470, zilizotolewa na serikali kujenga shule mpya ya Sekondari Mwanduitinje, iliyopo jimbo la kisesa wilaya ya Meatu, ambapo fedha hizo zimeisha kabla ya mradi kumalizika ujenzi wake.