Wezi mafuta ya SGR wakamatwa Shinyanga

Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga limekamata Lita 910 za mafuta ya dizeli yaliyokuwa yakitumika kwenye ujenzi wa reli ya kisasa SGR, katika msako wa polisi wamekamata pia mipira iliyokuwa ikitumika kufyonza mafuta hayo na kwenda kuuza kwenye migodi kwa wachimbaji

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS