Urusi,Ukraine yabadilishana wafungwa wa kivita

Wafungwa kadhaa wa kivita wa Urusi na Ukraine wamerejea nyumbani kufuatia mpango wa kubadilishana wafungwa. Mshauri mwandamizi katika ofisi ya rais Andriy Yermak amesmea kuwa wanajeshi 116 wa Ukraine wameachiliwa huru

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS