Rais aonya nyaraka za serikali kuwepo mitandaoni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaonya watunza kumbukumbu nchini kutunza nyaraka za serikali ipasavyo ili zisiendelee kuzagaa mitandanoni kama ilivyo sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS