TRC kuongeza safari za Dar - Kigoma

Shirika la Reli Tanzania TRC limesema litaona uwezekano wa kuongeza safari zake kutoka mbili hadi nne kwa wiki kutoka mkoani Kigoma hadi Dar Es Salaam, kufuatia serikali kuongeza mabehewa mapya ambayo yamepokelewa na viongozi na wananchi Mkoani kigoma

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS