Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na chatu Mvulana mwenye umri wa miaka mitano raia wa Australia amenusurika kifo baada ya kuumwa na chatu ambaye ppia alimburuta hadi kwenye bwawa la kuogelea. Read more about Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na chatu