Ajiua baada kumuua kijana mwenzake kisa mke wake
Kijana Richard Mtafya maarufu kama Masumbuko mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Ludewa kijijini inadaiwa amejiua kwa kunywa maji ya betri kwa kukwepa mkono wa sheria kwa shtaka la mauaji lililokuwa likimkabili.