Mashahidi wakana maelezo ya Polisi

Mashahidi watatu wa utetezi katika kesi namba 10/2022 ya kuwazuia maafisa wa serikali kutekeleza majukumu yao na kuwashambulia askari polisi wawili inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 wametoa ushahidi wao katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS