Wahitimu waaswa kujiepusha na rushwa
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamadi Hassan Chande, amewataka wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini hususani Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM), kufanya kazi kwa ubunifu, uaminifu na uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa, ufisadi, wizi na matumizi ya madawa ya kulevya