CCM yawaonya viongozi wanaolalamika
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo amewaonya viongozi wanaolalamika kuhusu maeneo wanayopewa kufanyia kazi hali ambayo inawavunja moyo wananchi na kuwataka wajitathmini kama wanatosha katika nafasi zao

