Watanzania waombwa kumsaidia mtoto Gift Mtoto Gift Amani na mama yake Nsamaka Masanja ambaye ni mama mzazi wa Gift Amani mwenye umri wa miaka mitatu, mwenye uvimbe maeneo mbalimbali ya mwili wake amewaomba watanzania kumsaidia ili aweze kumudu malezi ya mwanaye. Read more about Watanzania waombwa kumsaidia mtoto Gift