Wazazi msiwalaze watoto wenu na wageni nyumbani
Wazazi na walezi Mkoani Tanga wametakiwa kuacha tabia ya kuwalaza watoto wao na wageni mbalimbali majumbani ili kuwaepusha na vitendo vya ukatili ambavyo wamekuwa wakifanyiwa watoto wengi ikiwemo ulawiti

