Mkurugenzi Mtendaji BMH akutana na mabalozi
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt.Alphonce Chandika, leo amekutana na mabalozi wa Tanzania waliopo Mashariki ya kati, Ulaya na Amerika, Asia kwa dhumuni la kuwaeleza mafanikio yaliyo letwa na Serikali katika sekta ya afya.