Mabomu mawili yalipuka Israel, yaua. Kijana mdogo ameuawa na watu wengine 14 wamejeruhiwa katika mashambulizi mawili yanayoshukiwa kuwa ya mabomu katika vituo vya mabasi mjini Jerusalem. Read more about Mabomu mawili yalipuka Israel, yaua.