Watano wafariki kwa kuangukiwa na ghorofa Moshi Watu watano wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na jengo walilokuwa wakilijenga kwenye Kijiji Cha Sembeti Marangu wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro. Read more about Watano wafariki kwa kuangukiwa na ghorofa Moshi