Tanzania yatwaa kombe la Kanda ya tatu Afrika Timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa kuogolea (Tanzanite) imeshinda taji la kanda ya tatu Afrika baada ya kuzishinda nchi nyingine tisa zilizoshiriki katika mashindano hayo. Read more about Tanzania yatwaa kombe la Kanda ya tatu Afrika