Silaha haramu 6,000 zateketezwa Dar

Silaha zaidi ya 6000, zilizoteketezwa Kunduchi

Naibu Waziri wa Mambo ya ndani nchini, Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la polisi kufanya uchunguzi kwenye mikoa iliyoongoza kwa usalimishaji wa silaha haramu, ili kubaini vyanzo na matumizi ya silaha hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS