Waliovamia bonde la Ihefu waanza kuondolewa
Bodi ya maji bonde la Rufiji imeanza utekelezaji wa agizo la serikali la kuwaondoa wananchi waliovamia vyanzo vya maji kwa kubomoa mifereji isiyo rasmi ambayo inachepusha maji katika bonde la Ihefu na Usangu na kuathiri mtiririko wa maji katika mto Ruaha mkuu