"Rais anafanya makubwa kwa Watanzania" - Sumaye

Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye

Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, amesema kwamba kwa kazi kubwa inayofanya na Rais Samia Suluhu Hassan haina budi akaendelea kufanya kazi kubwa ya kuiongoza nchi hadi mwaka 2030.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS