Mbegu za pamba zanusurika kuungua Shinyanga
Tani 210 za mbegu za pamba katika kiwanda cha Jielong kinachomilikiwa na raia wa china mjini Shinyanga kimenusurika kuteketea kwa moto baada ya ghala la kuhifadhia mbegu kuanza kuwaka moto upande wa mashudu na kuunguza sehemu kubwa ya ghala hilo