Dar yaanza kutoa kingatiba Mabusha na Matende
Zaidi ya wananchi milioni nne wa mkoa wa dar es Salaam katika halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa manispaa ya kinondoni