Soko la Bima bado liko chini-Dkt Sakware
Kufuatia serikali kupitisha azma ya kuwepo kwa bima ya afya kwa kila mwananchi nchi nzima tayari sasa serikali imewataka wadau kuanzisha mafunzo kwa watoa huduma hiyo ili kuhakikisha kila mtu kwenye kila kijiji anafikiwa na huduma hiyo.