Serikali yaja na mpango wa kuzuia ukatili nchini
Serikali kupitia wizara ya Tamisemi imeagiza halmashauri zote nchini kukamilisha agizo la baraza la makatibu wakuu la kuunda sheria ndogondogo zitakazo saidia kupambana na ukatili wa kijinsia anbao umetajwa kuongezeka siku hadi siku hapa nchini