Vijana 200 wapewa mafunzo ya mazingira Mwanza Vijana Zaidi ya mia mbili jijini Mwanza wamepewa mafunzo ya kuhamasisha jamii kupanda na kutunza miti ikiwa ni lengo kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kutunza mazingira Read more about Vijana 200 wapewa mafunzo ya mazingira Mwanza