Zumaridi jela mwaka mmoja, kutumikia mwezi mmoja
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imemhukumu Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wafuasi wake wanne kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kuwakuta na hatia katika makosa mawili kati ya matatu kwenye kesi ya jinai namba 10/2022 huku wafuasi wengine wanne wakiachiwa huru

