Wataalamu wa mifugo tumieni vyema TEHAMA
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa mifugo nchini kuhakikisha wanatumia vyema Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuwafikia wafugaji wengi na kutatua changamoto zao.