Afrika Kusini yaisifu Tanzania kuitunza Historia

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa

Serikali ya Afrika Kusini imetoa pongezi na shukrani kwa Tanzania kwa kuendelea kuhifadhi na kulinda maeneo ya Historia ya wapigania Uhuru wa nchi hiyo yaliyoko Mazimbu mkoani Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS