Watendaji,wenyeviti mitaa chanzo cha migogoro. Kutokana na kukithiri kwa migogoro ya wafugaji na wakulima mkoani Lindi, baadhi ya wenyeviti Serikali za vijiji, maofisa watendaji wa vijiji na kata wametajwa kuwa chanzo. Read more about Watendaji,wenyeviti mitaa chanzo cha migogoro.