Rais Samia ataka maadili ya kuzingatiwa

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuwahimiza waumini wa dini zao kuzingatia mila, utamaduni na maadili ya kitanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS