Rais Mwinyi apongezwa kwa kudumisha amani Zanzibar Wadau mbalimbali wa siasa nchini wamepongeza uongozi wa Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi hasa kwa jinsi alivyoweza kudumisha amani na mshakamano ndani ya wananchi Read more about Rais Mwinyi apongezwa kwa kudumisha amani Zanzibar