Wahitimu wa misitu wahimizwa kutoa ajira
Wahitimu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu Tanzania (FITI), wametakiwa kutumia maarifa na ujuzi walioupata katika chuo hicho kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayoongeza kasi ya ukuaji wa sekta ya misitu na kutoa ajira kwa vijana wengine.