''Tunaiheshimu Ruvu Shooting''Mgunda Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema kesho wanakwenda kukutana na timu ngumu ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku. Read more about ''Tunaiheshimu Ruvu Shooting''Mgunda