Wenye ving'ora bila kibali wapewa saa 24 kuvitoa
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Ramadhani Ng'anzi ametoa masaa 24 kwa wamiliki wa magari waliyoweka ving'ora na vimulimuli na hawatambuliki kisheria kuviondoa haraka iwezekanavyo