RC akemea wanaozusha ujenzi daraja la JPM kusimama
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima amewataka watanzania kupuuza uvumi wa watu ambao wanasema ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi maarufu kama daraja la JPM uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 700 umesimama

