Wananchi washukuru ujenzi wa madaraja Simiyu Zaidi ya watu 20 na mifugo yao kadhaa wamenusurika kupoteza maisha baada ya kusombwa na maji kwa nyakati tofauti, katika Mto Sandai na Mto Senani iliyopo Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu Read more about Wananchi washukuru ujenzi wa madaraja Simiyu