Waliopooza waongezeka MOI

Mkurugenzi Mtendaji wa Moi Dkt  Respicious Boniphace,

Taasisi ya Mifupa (MOI) imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza hadi kufikia wagonjwa 120 kwa mwaka huku kwa siku ikihudumia wagonjwa saba mpaka 10 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mtindo wa maisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS