Wafugaji nchini kusajiliwa kielektroniki
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi sekta ya mifugo Tixon Nzunda, amewataka maafisa ugani pamoja na wafugaji kote nchini kusajiliwa katika mfumo wa kielekroniki ili kufuatilia utendaji wao wa kazi na uwajibikaji uendane na wakati pamoja na kuboresha uzalishaji wa mifugo nchini.