Kelvin Mandla Ndlomo (30) kuwa kocha mpya wa viungo kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Klabu ya Simba SC imetambulisha rasmi Kocha wa Viungo Kelvin Mandla kutoka nchini Afrika Kusini, ambaye anajiunga na Benchi la Ufundi linaloongozwa na Kaimu Kocha Mkuu Juma Ramadhan Mgunda.