Sababu ya mafuriko makubwa Nigeria na Niger Utafiti mpya umebaini kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yalizidisha mvua kubwa zilizosababisha mafuriko makubwa katika maeneo ya Nigeria na Niger mwaka huu na kuua mamia ya watu. Read more about Sababu ya mafuriko makubwa Nigeria na Niger