Jela maisha kwa kuua watu 6, na kuwajeruhi 62 Jaji mmoja wa Wisconsin amemhukumu mtu aliyewaua watu sita na kuwajeruhi 62 kwa kuendesha gari kupitia gwaride la Krismasi mwaka jana kwenda jela maisha. Read more about Jela maisha kwa kuua watu 6, na kuwajeruhi 62