PM awataka NHC kushirikiana na wabia wenye uwezo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha kuwa linachambua na kupitia kwa umakini wawekezaji watakaoleta maombi ya ujenzi wa miradi ya ubia na Shirika hilo ili kupata wawekezaji wenye uwezo wa kukamilisha ujenzi kwa viwango na wakati.