Mmoja akamatwa Dar kwa kuwadanganya Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Deodatus Thadei Luhela (35) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kituo cha Polisi huku akidai kuwa majambazi walimjeruhi na kumpora Tsh Milioni 60,000,000 alizo kuwa ametumwa na mwajiri wake kuzichukua kutoka benki ya CRDB Tazara.