Trump aanza harakati za Urais
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amezindua azma yake ya tatu ya kuingia Ikulu ya White House, akitangaza: "Kurudi kwa Marekani kunaanza hivi sasa. Trump amezungumza Katika makazi yake ya Florida, akisema kwamba Wamarekani wanapaswa kuokoa nchi hiyo.