Waziri Mkuu aagiza changamoto za uvuvi kutatuliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Mifugo a Uvuvi, kuandaa mikutano ya mara kwa mara na wadau wa uvuvi ili kujadili changamoto zilizopo katika sekta hiyo na kuzipatia ufumbuzi kufuatia mazao ya uvuvi kutajwa kupungua katika ziwa victoria.