Wafanya biashara kunufaika na mtandao wa 5g Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imezindua vipanga njia (Routers) vya 5G ambavyo vitaunganisha nyumba na biashara kwenye mtandao wa 5G unaounganisha wateja kwa haraka na urahisi zaidi. Read more about Wafanya biashara kunufaika na mtandao wa 5g